Nenda kwa yaliyomo

Klaus Dick

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Klaus Dick (27 Februari 192825 Februari 2024) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Ujerumani.

Alihudumu kama askofu msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Cologne kutoka 1975 hadi 2003.

Alifariki dunia mjini Cologne tarehe 25 Februari 2024, akiwa na umri wa miaka 95.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.