Nenda kwa yaliyomo

Klabu ya Michezo ya Bonnyrigg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Klabu ya Michezo ya Bonnyrigg ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Sydney nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Bonnyrigg White Eagles FC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 5,000.[1]

  1. "Bonnyrigg White Eagles Official Club Website". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2025-02-10. Iliwekwa mnamo 2025-02-06.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Klabu ya Michezo ya Bonnyrigg kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.