Nenda kwa yaliyomo

Kizimkazi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pwani ya Kizimkazi.

Kizimkazi (pia hujulikana kama Kizimkazi Mtendeni) ni kijiji cha wavuvi kusini mwa pwani ya Zanzibar, Tanzania.

Kiko maili tatu kusini-mashariki mwa Msikiti wa Kizimkazi (unaopatikana Kizimkazi Dimbani ambao mara nyingi hujulikana kama Dimbani).

Miaka ya hivi karibuni, Kizimkazi imekuwa kivutio kikubwa cha watalii, kwani ziara za kila siku za boti hupangwa ili kuwaleta wageni ufukweni kutazama pomboo na kuogelea nao.

Msikiti wa Kizimkazi.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Kulikuwa mahali pa makazi ya Waswahili wa kale katika pwani ya Bahari ya Hindi yaliyokuwa na uzio kandokando [1].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Kizimkazi Mosque". ArchNet. Massachusetts Institute of Technology. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2005-02-19. Iliwekwa mnamo 2007-03-04.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

6°27′S 39°28′E / 6.450°S 39.467°E / -6.450; 39.467