Kizimba (lugha)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kizimba ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wazimba. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kizimba imehesabiwa kuwa watu 120,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kizimba iko katika kundi la D20.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kizimba (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.