Kizhuang cha Yongbei

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kizhuang ya Yongbei)

Kizhuang ya Yongbei ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina inayozungumzwa na Wazhuang. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kizhuang ya Yongbei imehesabiwa kuwa watu takriban milioni mbili. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kizhuang ya Yongbei iko katika kundi la Kitai ya Kaskazini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kizhuang cha Yongbei kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.