Kiyaka (Kongo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiyaka ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kongo inayozungumzwa na Wayaka. Isichanganywe na lugha ya Kiyaka nchini Angola wala na lugha ya Kiyaka nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati wala na lugha za Kiaka. Mwaka wa 1988 idadi ya wasemaji wa Kiyaka imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiyaka iko katika kundi la B70.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyaka (Kongo) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.