Kiwumboko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiwumboko ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wawumboko. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiwumboko imehesabiwa kuwa watu 4000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiwumboko iko katika kundi la A20.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwumboko kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.