Kiwiano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kiwiano kinaitwa Hayes 300 Baud Smartmodem.

Katika sayansi ya tarakilishi, kiwiano (kwa Kiingereza: modem, kifupi cha "kifaa cha mawasiliano kitumikacho kati ya kompyuta na simu") ni kifaa kinachotohoa data ili inaweza kutumwa kwa tarakilishi nyingine. Kiwiano ni chombo kinatumika kati ya tarakilishi mbili.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.