Kiwemba-Wemba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiwemba-Wemba kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wawemba-Wemba katika jimbo la Victoria. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiwemba-Wemba, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwemba-Wemba kiko katika kundi la Kulin.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwemba-Wemba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.