Kiwathawurrung

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kiwathaurong)
Maeneo ya lugha za Kikulin; Kiwathawurrung (Kiwathaurong) kiko upande wa Kusini-Magharibi (rangi ya kijani).

Kiwathawurrung (au Kiwathaurong) kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wawathawurrung katika jimbo la Victoria. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiwathawurrung ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwathawurrung kiko katika kundi la Kikulin.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwathawurrung kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.