Kiwandamen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiwandamen (pia Kibintuni) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wawandamen kwenye kisiwa cha Papua. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kiwandamen imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwandamen iko katika kundi la Kiyapen.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwandamen kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.