Kiwaddar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiwaddar ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wawaddar. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiwaddar imehesabiwa kuwa watu 172,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwaddar iko katika kundi la Kitelugu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwaddar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.