Nenda kwa yaliyomo

Kivaeakau-Taumako

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kivaeakau-Taumako (pia Kipileni) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Wavaeakau-Taumako kwenye kisiwa cha Matema, Taumako, Nupani, Nukapu, Pileni na Nifiloli. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kivaeakau-Taumako imehesabiwa kuwa watu 1660. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kivaeakau-Taumako iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kivaeakau-Taumako kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.