Kiura (Vanuatu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiura ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Waura kwenye kisiwa cha Erromanga. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kiura imehesabiwa kuwa watu sita tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiura iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiura (Vanuatu) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.