Kiulithi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiulithi ni lugha ya Kiaustronesia nchini Mikronesia inayozungumzwa na Waulithi. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kiulithi imehesabiwa kuwa watu 3000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiulithi iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiulithi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.