Kiuda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiuda ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wauda. Mwaka wa 1988 idadi ya wasemaji wa Kiuda imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiuda iko katika kundi la Cross River.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiuda kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.