Kitwendi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kitwendi (lugha))

Kitwendi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Watwendi. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kitwendi imehesabiwa kuwa watu 1000 lakini mwaka wa 2000 kulikuwa na wasemaji 30 tu. Kwa hiyo lugha inakaribia kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitwendi iko katika kundi la Kimambiloidi ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitwendi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.