Kituki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kituki (lugha))

Kituki ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Watuki. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kituki imehesabiwa kuwa watu 26,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kituki iko katika kundi la A60.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kituki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.