Nenda kwa yaliyomo

Kitso Lynn Lelliott

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitso Lynn Lelliott (alizaliwa Botswana[1], 1985) ni mtayarishaji wa filamu na msanii wa vyombo vingi vya habari kutoka Botswana, anayeishi Johannesburg.

Maisha ya awali na elimu

[hariri | hariri chanzo]

Kitso Lynn Lelliott alihitimu shahada ya kwanza ya sanaa mwaka 2006, shahada ya uzamili katika filamu na televisheni mwaka 2011 na shahada ya uzamivu kutoka Chuo Kikuu cha Witwatersrand.[2][3][4]

  1. Beti Ellerson (2018). "African Women of the Screen as Cultural Producers: An Overview by Country". Black Camera. 10 (1): 245. doi:10.2979/blackcamera.10.1.17.
  2. "Mail & Guardian 200 Young South Africans 2013" (PDF). Mail & Guardian. Julai 25–31, 2014.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "PARSE". parsejournal.com (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2024-12-25.
  4. Said, Kitsolynnlelliott (2016-06-28). "In Conversation with Kitso Lynn Lelliott". I.U.B... (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-08-02.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitso Lynn Lelliott kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.