Kitooro (lugha)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitooro ni lugha ya Kibantu nchini Uganda inayozungumzwa na Watooro. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kitooro imehesabiwa kuwa watu 488,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kitooro iko katika kundi la J10.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitooro (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.