Kitonga (Uthai)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitonga ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uthai na Malaysia inayozungumzwa na Watonga. Isichanganywe na lugha nyingine tofauti ziitwazo Kitonga vilevile nchini Zambia, Malawi na visiwani kwa Tonga. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kitonga nchini Uthai imehesabiwa kuwa watu 180. Pia kuna wasemaji 15 nchini Malaysia. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitonga iko katika kundi la Kiaslian.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitonga (Uthai) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.