Kitjurruru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitjurruru kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Watjurruru katika jimbo la Australia Magharibi. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kitjurruru ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitjurruru kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitjurruru kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.