Kitinani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitinani ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Watinani. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kitinani nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 22,600. Pia kuna wasemaji 450 nchini Uchina (1977). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitinani iko katika kundi la Kikinauri.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitinani kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.