Kitimagurudumu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Kitimagurudumu.

Kitimagurudumu ni kifaa kilichotengenezwa kikiwa na kiti pamoja na magurudumu kwa madhumuni ya kumsaidia majeruhi, mgonjwa au mlemavu kukalia na kujisukuma, kusukumwa na mtu mwingine au kujiendesha kwa mashine za otomatiki.