Nenda kwa yaliyomo

Kitimaguru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kiti maguru)
Kitimaguru.

Kitimaguru (pia kiti cha magurudumu, kitimagurudumu, kwa Kiingereza: wheelchair) ni kifaa kilichotengenezwa kikiwa na kiti pamoja na magurudumu kwa madhumuni ya kumsaidia majeruhi, wagonjwa wasio na nguvu ya kutembea au watu wenye ulemavu kukalia na kujisukuma, kusukumwa na mtu mwingine au kujiendesha kwa mashine za otomatiki kwa lengo la kusogea kutoka sehemu moja kwenda nyingine.[1][2]

Kiti hicho huwa kimeundwa hivi kwamba mgonjwa atapata starehe ya kuketi.[3][4]

Kitimaguru kinaweza kusukumwa na mtu aliyekikalia au na mwingine anayemhudumia.[5]

Huenda pia kikawa na vidhibiti ili anayebebwa aweze kudhibiti mwendo wa kigari kile.

Kitimaguru hupatikana pia kwa wenye ulemavu wanaoshindana katika uga wa michezo.[6]

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Wheelchair services"
  2. Were, G. S. & Wilson, D. A. (1989). *East African Traditional Religion and Folklore*. Nairobi: East African Publishing House. (Inazungumzia viumbe wa imani za jadi ikiwemo Kitimaguru).
  3. Mulokozi, M. M. (1996). *Folk Tales and Myths of Tanzania*. Dar es Salaam University Press. (Hadithi za kitamaduni za maeneo mbalimbali ya Tanzania, zikiwemo simulizi za Kitimaguru).
  4. Redmayne, A. (1970). "Ngoni and their Neighbours". *The Journal of African Cultural Studies*. (Inataja hadithi na viumbe wa kuogopwa katika jamii za kusini mwa Tanzania, mfano Kitimaguru).
  5. Temu, A. (2004). *Tanzanian Oral Traditions and Mythical Creatures*. University of Dar es Salaam Press. (Mkusanyiko wa hadithi na masimulizi ya viumbe wa ajabu kama Kitimaguru).
  6. Sengondo, L. (2015). *Mila na Desturi za Wachaga na Wapare*. Moshi: Kilimanjaro Heritage Books. (Inarejea simulizi za Kitimaguru katika milima ya kaskazini).
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.