Kitharu cha Chitwania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kitharu ya Chitwania)

Kitharu ya Chitwania ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Nepal inayozungumzwa na Watharu. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kitharu ya Chitwania nchini Nepal imehesabiwa kuwa watu 285,000. Pia kuna wasemaji wachache nchini Uhindi. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitharu ya Chitwania iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitharu cha Chitwania kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.