Kitharu cha Rana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kitharu ya Rana ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Nepal inayozungumzwa na Watharu. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kitharu ya Rana nchini Nepal imehesabiwa kuwa watu 336,000. Pia kuna wasemaji 150,000 nchini Uhindi (2003). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitharu ya Rana iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitharu cha Rana kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.