Kithao
Mandhari
Kithao ni lugha ya Kiaustronesia nchini Taiwan iliyozungumzwa na Wathao. Mwaka wa 2007 idadi ya Wathao imehesabiwa kuwa watu 300 lakini kuna wazee watano tu ambao wangeweza kuongea lugha ya Kithao, yaani lugha yao imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kithao iko katika kundi la Kitambarare-Magharibi (“Western Plains”).
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kithao kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kithao
- lugha ya Kithao katika Glottolog
- lugha ya Kithao kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kithao kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |