Kithai-Kaskazini-Mashariki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kithai ya Kaskazini-Mashariki (pia Kiisan) ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uthai inayozungumzwa na Wathai. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kithai ya Kaskazini-Mashariki imehesabiwa kuwa watu milioni 15. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kithai ya Kaskazini-Mashariki iko katika kundi la Kitai ya Kusini-Magharibi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kithai-Kaskazini-Mashariki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.