Kithai-Kaskazini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kithai ya Kaskazini)

Kithai ya Kaskazini (pia Kilanna au Kikam-Mueang) ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uthai inayozungumzwa na Wathai. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kithai ya Kaskazini nchini Uthai imehesabiwa kuwa watu milioni sita. Pia kuna wasemaji 29,500 nchini Laos (2005). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kithai ya Kaskazini iko katika kundi la Kitai ya Kaskazini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kithai-Kaskazini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.