Kitenganishi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Sehemu ya faili CSV kwenye vitenganishi.

Katika utarakilishi, kitenganishi (kwa Kiingereza: delimiter) ni herufi moja inayotumika kutenga elementi mbili katika faili CSV. Kwa mfano, alama ya mkato ni kitenganishi.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).