Kitee

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitee (pia Kitai) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Watee. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kitee imehesabiwa kuwa watu 313,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitee iko katika kundi la Cross River.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitee kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.