Kitayo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitayo ni lugha ya Kiaustronesia nchini Kaledonia Mpya inayozungumzwa na Watayo. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kitayo imehesabiwa kuwa watu 900. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitayo iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitayo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.