Kitambulishi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitambulishi (kutoka kitenzi cha Kibantu kutambua, kikinyambulishwa kuwa kutambulisha; kwa Kiingereza: identifier) ni jina linalotambulisha kipengee kimoja.

Katika utarakilishi kitambulishi ni jina la kipengee cha lugha za programu.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.