Kitakuu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitakuu ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Watakuu. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kitakuu imehesabiwa kuwa watu 1750. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitakuu iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitakuu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.