Kitagbanwa cha Kati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitagbanwa ya Katikati ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Watagbanwa. Mwaka wa 1985 idadi ya wasemaji wa Kitagbanwa ya Katikati imehesabiwa kuwa watu 2000, na tangu pale idadi imepungua sana tena, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitagbanwa ya Katikati iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitagbanwa cha Kati kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.