Kitagakaulo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitagakaulo ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Watagakaulo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kitagakaulo imehesabiwa kuwa watu 83,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitagakaulo iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitagakaulo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.