Nenda kwa yaliyomo

Kisra

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisra,ni mkate maarufu wa Sudan uliotengenezwa kwa kuchachushwa na kuwa mwembamba sana. Hutengenezwa Sudan, Chad, Sudan Kusini, Algeria na katika baadhi ya sehemu za Uganda na Kenya. Hutengenezwa kwa mtama au ngano.[1]

Kuna aina 2 tofauti za kisra:

Kisra rhaheefa - ni makaratasi mepesi yaliyookwa. Hufanana na injera.

Kisra aseeda au aceda - ni uji mnene. Huliwa pamoja na kitoweo cha nyama na mboga kama mullah.[2]

Kufikia mwaka 1995

kisra

nchi ya Sudan iliyokuwa bado haijagawanyika ilitumia takriban tani 18,000 hadi 27,000 za unga wa mtama kwa mwaka kutengeneza kisra.[3]

Mwaka 2025, CNN iliweka kisra katika orodha ya mikate 50 bora zaidi duniani.[4]

  1. ↑ Guardia, Miguel de la; Garrigues, Salvador (2015-05-13). Handbook of Mineral Elements in Food (kwa Kiingereza). John Wiley & Sons. ISBN 978-1-118-65436-1.
  2. ↑ Amuna Wagner (2025-07-11). "'The Sudanese Kitchen Cookbook:' A Culinary Map of Sudan's Rich Food Traditions". okayafrica (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2026-07-25.
  3. ↑ Steinkraus, Keith (1995-11-14). Handbook of Indigenous Fermented Foods, Second Edition, Revised and Expanded (kwa Kiingereza). CRC Press. ISBN 978-0-8247-9352-4.
  4. ↑ Guardia, Miguel de la; Garrigues, Salvador (2015-05-13). Handbook of Mineral Elements in Food (kwa Kiingereza). John Wiley & Sons. ISBN 978-1-118-65436-1.