Kisiwa cha Uware

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisiwa cha Uware ni kati ya visiwa cha kaunti ya Homa Bay, magharibi mwa Kenya.

Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]