Kisiwa cha Okuza

Majiranukta: 8°16′40″S 39°35′36″E / 8.27778°S 39.59333°E / -8.27778; 39.59333
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

8°16′40″S 39°35′36″E / 8.27778°S 39.59333°E / -8.27778; 39.59333


Okuza (pia: Kuza) ni kisiwa kidogo cha mkoa wa Pwani, nchini Tanzania, ambacho kinapatikana katika Bahari ya Hindi. Kipo mbele ya mdomo wa mto Muhoro, upande wa kusini wa kisiwa cha Mafia.

Okuza ina urefu wa takriban kilomita 1 na upana wa mita 100 - 200. Hakuna wakazi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Pwani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kisiwa cha Okuza kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.