Kisiwa cha Mubari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisiwa cha Mubari ni kati ya visiwa vya mkoa wa Kagera, nchini Tanzania, mpakani mwa Rwanda.

Kinapatikana katika ziwa linaloundwa na mto Kagera kabla haujaishia katika ziwa Nyanza.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kagera bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kisiwa cha Mubari kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.