Nenda kwa yaliyomo

Kisiwa Usubi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisiwa Usubi ni kati ya visiwa vya mkoa wa Pemba Kaskazini, Zanzibar, nchini Tanzania, ambacho kinapatikana katika Bahari ya Hindi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]