Nenda kwa yaliyomo

Kisigino

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kisigino cha mguu wa msichana.

Kisigino ni sehemu ya nyuma ya mguu wa mwanadamu iliyo nyuma ya upinde na chini ya kifundo cha mguu. Pia kisigino kinaweza kuwa cha kiatu.

Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisigino kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.