Kishusha joto
Mandhari



Kishusha joto (kwa Kiingereza: heat sink) ni kifaa cha tarakilishi kinachohamisha joto linalozalishwa na kifaa cha elektroniki au mitambo kwenda kwenye kimiminika (mara nyingi hewa au kiowevu cha kupoza), ambako linatoweka mbali na kifaa, hivyo kuruhusu udhibiti wa halijoto ya kifaa. Katika kompyuta, kishusha joto hutumika kupoza CPU, GPU, pamoja na vichipu na moduli za RAM.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |