Kisenoufo-Mamara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisenoufo-Mamara ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Mali inayozungumzwa na Wasenoufo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimamara imehesabiwa kuwa watu 738,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimamara iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisenoufo-Mamara kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.