Kiiban

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kisebuyau)

Kiiban (pia Kisea-Dayak) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia, Indonesia na Brunei inayozungumzwa na Waiban kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2013 idadi ya wasemaji wa Kiiban nchini Malaysia imehesabiwa kuwa watu 752,000. Pia kuna wasemaji 15,000 nchini Indonesia (2003) na wasemaji 21,400 nchini Brunei. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiiban iko katika kundi la Kimalayiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiiban kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.