Kisawai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisawai ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wasawai kwenye kisiwa cha Halmahera. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kisawai imehesabiwa kuwa watu 12,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisawai iko katika kundi la Kihalmahera-Kusini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisawai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.