Kisavara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisavara ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wasavara. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kisavara imehesabiwa kuwa watu 253,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisavara iko katika kundi la Kitelugu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisavara kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.