Kisakao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisakao ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Wasakao kwenye kisiwa cha Santo. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kisakao imehesabiwa kuwa watu 4000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisakao iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisakao kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.