Kiraji (Nepal)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiraji ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Waraji. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kiraji imehesabiwa kuwa watu 3760. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiraji iko katika kundi la Kihimalaya.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiraji (Nepal) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.